Sunday, September 16, 2018

Wimbo Mpya Hatutaachna wake Tumaini Lawi sasa uko Youtube. Pata nafasi ya kuusikiliza ili ukubaliki.

Fabian Fanuel@FMG
MWANZA.

ULE wimbo wa Injili uitwao HATUTAACHANA kutoka kwake mwimbajiTUMAINI LAWI ambao ni tulikuwa tunausbiri kwa muda mrefu hatimaye umeachiliwa Youtube leo.

Akizungumza na Mtandao wa Gospel 255 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Mwanza Tanzania Tumaini Lawi alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa hatua hiyo na kuwaomba watu wote waupokee ili ufanye kitu katika maisha ya kila mmoja mmoja.

Tumaini alisema kuwa ujumbe uliyomo kwenye wimbo huo ni wa kugusa na utakaomtoa mtu sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Pata nafasi ya kuusikiliza hapa chini kisha uache komenti yako.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: