Monday, September 10, 2018

Wimbo wa SEMA NA YESU wake HAPPY MLINGA unapatikana YOUTUBE kwasasa.Fabian Fanuel @FMG
MWANZA.

ULE wimbo wenye kugusa mioyo ya watu wa aina mbalimbali uitwao SEMA NA YESU wake HAPPY MLINGA unapatikana YOUTUBE baada ya kuwekwa hapo toka tarehe 8 septemba mwaka huu.

Ni wimbo ambao uko miungoni wa nyimbo ambazo zinakamilisha albam yake iitwayo UMETENDA JAMBO ambao inatarajia kukamilika mwezi huu. 

Happy Mlinga amekuwa akipaa juu kihuduma kutokana na kumtanguliza Mungu katika huduma yake na kuwa nidhamu na heshima kwa watu wanaomsimamia.

Happy Mlinga anapatikana kwa mitandao ya kijamii kama vile:- 
Facebook anatumia jina la Happy Mlinga
Instagram anatumia jina la @happymlingagospel
Youtube anatumia jina la Happy Mlinga

Ukamilishwaji wa albam yake unaendelea huku akiwa ameshashuti baadhi ya nyimbo hizi hapa 
1. Umetenda Jambo
2. Namtazama Yesu
3. Tatu Bila
Huku zingine zikiendelea kushutiwa zikamilike kama
1. Amebaki Yesu
2. Sema Na Yesu 

na zingine ambazo ziko jikoni zikipikwa. Anapatikana kwa huduma kwa +255758237851

PATA NAFASI YA KUUSIKILIZA HAPA CHINI.


SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: