Wednesday, September 5, 2018

RC Antony Mtaka afunguka baada ya kupewa matrekta kwa ajili ya kilimo.


Naishukuru Kampuni ya AgriCom Africa-Inayoongozwa na Dada yangu Angeline Ngalula(Makamu Mwenyekiti wa TPSF, na Mmiliki wa Bravo Logistic) Kwa kutupatia zana Bora za kilimo-Trekta 2 kubwa,Mashine kubwa ya kupandia na kuvunia mpunga,tumejiandaa kutumia bwawa la Mwasubuya kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji, na ufugaji samaki kwa njia ya kawaida na vizimba,zaidi tutatenga eneo maalumu ambalo wakulima watalima na kuvuna kwa pamoja mpunga na samaki.. 

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: