Tuesday, September 11, 2018

Pastor Dr Jacob Mutashi apaa kimataifa katika kuhubiri Injili.

Mwalimu, Mchungaji mwenye NENO la MUNGU ndani yake Dr. Jacob Mutashi amepata kibali zaidi baada kupata mwaliko wa kwenda nchini Zimbabwe kuhubiri katika mkutano mkubwa. Dr Mutashi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la EAGT Kiloleli amekuwa akipata mialiko hiyo kutokana na kuwa na upako, mafuta na neno lisilochosha kusikiliza akiwa Jukwaani. Mungu ambariki anapojiandaa kwa safari hiyo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: