Tuesday, September 11, 2018

Happy Birthday Fredrick Masolwa, Mungu akupe maisha marefu na yenye neema pia.

Fredrick Masolwa ni moja kati ya majina ya Vijana wenye uwezo mkubwa na utaalam wa mambo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa sasa anafanya kazi TFF kama meneja masoko na akifanya kazi zake. Happy Birthday Fredrick Masolwa.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: