Wednesday, September 5, 2018

Dr Titus Kamani atoe neno kuhusu kuishi na watu vizuri.- Famara Media Group.

Wanasema "ishi na watu vizuri maana hujui ni lini na wapi mtakutana, ni vema mkakutana kwa uzuri". Hapa ni pale nilipokutana na watu niliofanya nao kazi nikiwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu. 

Wakuu wa Wilaya zote na Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu walifurahi kujumuika nami wakati wa Maadhimisho ya Nane-Nane kitaifa kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: