Thursday, September 13, 2018

Baada ya Ukimia mwingi mwimbaji wa nyimbo za injili Madame Ruti aamua kuja kivingine kwa kishindo.


Madame Ruti ni mmoja wa waimbaji wenye nia na malengo ya kufika mbali kimuziki, alianza kidogo kidogo hadi sasa amezidi kuwateka mashabiki wengi wa muziki na kuwafanya wapende muziki wake. Baada ya kusimama vizuri na albam yake ya kwanza kesho yako inakuja, kwasasa anakuja na kazi nzuri inaitwa MASIAH

Hebu tazama hapa chini yake ya kesho yako.SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: