Tuesday, September 11, 2018

Atosha Kissava kuachia wimbo mpya 12 September Mwaka huu.

Mwanadada aliye na sauti yenye mvuto aitwaye Atosha Kissava amejipanga kuachia wimbo mpya uitwao USISAHAU ULIKOTOKA. Hii ni baada ya kutamba na wimbo wake uliopita NENDA NAMI. 12 September Mwaka huu wimbo huo utakuwa Youtube kwenye akaunti yake ATOSHA KISSAVA. 

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: