Wednesday, September 5, 2018

Alichokizungumza Pasta Rose Shaboka kuhusu ''KUACHWA''

Kuachwa sio kubadilishwa jinsia, wewe bado ni mwanamke, UTAPENDWA TENA....
Kitu kibaya zaidi sio kumpoteza mtu ila ni KUJIPOTEZA WEWE ukiwa unajaribu kung'ang'ania kumshika aliyekataa kushikwa na wewe.....
Wasichana mmenisikia?

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: