Friday, August 24, 2018

Wachezaji hawa waing'arisha Simba Kimataifa....


Wachezaji kumi na mbili wa timu ya Simba wameitwa kwenye timu zao za taifa ili kuwakilisha mataifa yao katika mechi za kimataifa. 

Wachezaji hao ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Hassan Dilunga, John Bocco na Shiza Kichuya wote (Tanzania) Emmanuel Okwi na Juuko Murshid (Uganda), Haruna Niyonzima na Meddie Kagere (Rwanda) na Clatous Chama wa Chipolopolo (Zambia)

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: