Monday, August 20, 2018

VIDEO-liverpool ilivyoichapa Crystal Palace 2-0


Kikosi cha  majogoo wa jiji Liverpool kimezidi kufanya vizuri katika ligi pendwa ya uingereza baada ya kuitandika Crystal Palace magoli 2-0.

Mabao ya Liverpool usiku wa jana yamefungwa na James Milner kwa njia ya penati ambaye mara ya mwisho kufunga goli lisilo la penati ilikuwa mwaka 2016 dhidi ya man city pamoja na jingine  lililofungwa na Sadio Mane dakika za mwisho wa mchezo huo.
SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: