Monday, August 27, 2018

VIDEO-Kagere alivyowaangamiza Mbeya city Taifa
Kikosi cha mnyama simba hapo jana kimeendeleza wimbi la ushindi mara baada ya kuichapa mbeya city magoli 2-0 katika mchezo wa pili kwa timu zote hizo uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Katika mchezo huo magoli ya mnyama simba yamefungwa na
Meddie Kagere aliyefunga magoli mawili dk ya11 na 45 kipindi cha kwanza na kutimiza magoli matatu ya ligi huku akifunga kila mechi kuanzia ile ya ngao ya hisani dhidi ya Mtibwa sugar.


Matokeo mengine ya ligi hiyo hapo jana

Alliance FC 1-1 African Lyon
Azam 3-0 Ndanda

Tazama magoli yote mawili ya MEDDIE KAGERE Mechi ya Simba na Mbeya city hapa….SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: