Wednesday, August 29, 2018

Ratiba za Vipindi KWANEEMA FM RADIO 98.1 MWANZA, hii hapaaa.


Ratiba za Vipindi KWANEEMA FM RADIO 98.1 MWANZA, hii ni ratiba ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 12 Asubuhi hadi saa 1 jioni. Ni vipindi vizuri venye watangazaji wenye ubobevu na wanaofahamu kazi kisawasawa.

 Pata nafasi ya kusikiliza radio hii. Kama uko Mwanza na Mikoa ya Kanda ya Ziwa tusikilize kupitia 98.1 Mhz na kwa wale walio mbali waweza kutupata kupitia www.kwaneemafm.co.tz

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: