Wednesday, August 29, 2018

Picha 8 zake Happy Mlinga akilitikisa jukwaa katika mkutano wa Injili jijini Dar es Salaam.


Mkutano mkubwa wa Injili unafanyika jijini Dar es Salam katika viwanja wa kanisa la JEHOVA SHAMA chini yake Akofu na Mama Askofu BAGOMWA. Usipitwe na huu mkutano mkubwa wapendwa wote wa Dar es Salaam. Mmoja wa waimbaji anayeimba hapo ni gwiji wa muziki wa Injili HAPPY MLINGA (pichani hapo juu akifanya yake)

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: