Sunday, August 19, 2018

Mwimbaji Happy Mlinga hakamatiki kwenye Muziki wa Injili kwa sasa.

Mwimbaji Mahiri HAPPY MLINGA amefanya jambo ambalo limeach gumzo bada ya kukamilisha wimbo wake mpya uitwao AMEBAKI YESU. Ni moja kati ya nyimbo kubwa kutoka kwake toka aanze kuimba tangu akiwa mdogo hadi sasa. Nakukaribisha usikilize wimbo huu mpya ambao utakugusa sana kupita maelezo.
DOWLOAD/SIKILIZA

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: