Wednesday, August 29, 2018

Mtangazaji wa Radio Wapo na MC maarufu Tanzania Ritha Chuwalo atanua fursa ya kuingiza kipato zaidi.


Napenda kuwatangazia Marafiki zangu wote na Wateja wangu wote kwamba Maziwa Fresh ya Ng'ombe yanapatikana .Ni Fresh kweli kweli hayajachakachuliwa hata kidogo. Kwa wale mtakaohitaji tafadhali mnipigie Simu kwa Namba 0769228230 pamoja na 0719055656 .
Nauza pia Asali Halisi Mbichi ya Nyuki Wakubwa. Haijachakachuliwa. 

Pia nauza Mafuta halisi ya Alizeti.
Nawakaribisha Marafiki zangu wote. Nipigie kwa namba zangu hizo hapo juu tutakufikishia utakacho hitaji hadi ulipo. 
Maziwa Fresh Lita 5 ni Tshs. 12,000

Asali Lita Moja ni Tshs. 15, 000
Na Lita 5 za Mafuta ya Alizeti ni Tshs. 22,000. Karibu sana tupe Oda yako.


SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: