Saturday, August 18, 2018

Matokeo ya ligi ya uingereza ratiba ya leo na kesho hii hapaMatokeo ya Ligi ya Uingereza jana aug 18

Cardiff City 0-0 Newcastle United
Everton 2-1 southampton
Leicester City 2-0 Wolverhampton Wanderers
Tottenham 3-1 Fulham
Westham United 1-2 AFC Bournemouth
Chelsea 3-2 Arsenal


RATIBA MICHEZO YA LEO.. aug 19
Saa tisa na nusu itapigwa michezo miwili
Burnley vs Watford
Man city vs Huddersfield Town

Saa kumi na mbili kamili usiku mchezo mmoja
Brighton and Hove Albion vs Man united

Ligi kuu ya uingereza itaendelea pia hapo kesho jumatatu kwa mchezo mmoja
Majira ya saa nne usiku

Crystal Palace vs Liverpool


SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: