Thursday, August 30, 2018

Makabila kumi yenye wanawake warembo na wenye mvuto zaidi nchini Tanzania.Nchi ya Tanzania inakadiriwa kuwa na makabila mia na ishirini hivyo yote yana mvuto wa aina yake, nakuletea makabila kumi yenye mvuto zaidi hapa Tanzania.

NAMBA 10- WAHAYA—Kagera-----wakichanganywa na waganda na wanyarwanda.

Namba 9 – WANYAKYUSA---Mbeya - Miili iliyoshiba sana, wenye nyamanyama.

Namba 8- WADIGO-----Tanga……Wanasifia kwa kuwa na upendo wadhati sana kwa watu.

Namba 7-- Wasambaa- Lushoto na Pangani- Tanga----wamechangamana kutoka makabila mbalimbali.

Namba 6- WANYAMWEZI(Tabora)- Wachapakazi---Mzigo mzito mpe mnyamwezi.

Namba 5- WANYATURU- SINGIDA--- Weupe wazuri.

Namba 4- WANYIRAMBA- SINGIDA- Weupe wazuri sana na wanafanana sana na wanyaturu.

Namba 3- WACHAGA- KILIMANJARO- Sio kabila ila mchanganyiko wa makabila, wachaga wanafanana katika mambo machache kama chakula- wanwake wa marangu.(pesa) ndio kila kitu kwao.

Namba 2- Wambulu- MANYARA NA SINGIDA---sura zao hazifanani na wabantu…inasemekana wamechangwa na makabila ya mashariki ya kati, wazungu walipita hapo zamani.

Namba 1- Warangi- DODOMA-KONDOA—weupe na nywele kama za kiarabu…….balaaa tupuuuuu.
SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: