Saturday, August 25, 2018

Ligi ya uingereza Man City yaambulia sare ,Arsenal Leicester City zikipeta....


Kikosi cha Manchester City jioni la leo kimeambulia alama moja tu dhidi ya waliopanda daraja klabu ya  Wolves katika mchezo wa Ligi Kuu nchini uingereza michezo ya raundi ya tatu.

Katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya goli 1-1 Wolves walikuwa wa kwanza kujipatia bao kupitia kwa Willy Boly aliyefunga dk 57.


City walikuja kusawazisha baadaye kupitia kwa Laporte dk 69 na kuufanya mchezo huo umalizike kwa matokeo hayo.

Matokeo mengine ya ligi ya uingereza hii leo.

AFC Bournemouth 2-2 Everton
Arsenal 3-1 Westham united
Huddersfield Town 0-0 Cardiff City
Liverpool 1-0 Brighton &
HOVE ALBION


SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: