Sunday, August 19, 2018

Kikosi cha watoto wa jangwani kinachowakabili waarabu mbele ya MANJI hiki hapaWakati kikosi cha Yanga kikitarajia kucheza na USM Alger ya Algeria saa moja jioni ya leo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji kutarajiwa kuwepo dimbani leo hiki hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza…

Kikosi cha Yanga 1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Abdallah Shaibu
7. Pius Buswita
8. Papy Kabamba
9. Heritier Makambo
10. Rafael Daud
11. Deus Kaseke


Wachezaji wa akiba

1. Ramadhan Kabwili

2. Said Makapu
3. Haji Mwinyi
4. Ibrahim Ajibu
5. Thaban Kamusoko
6. Juma Mahadhi
7. Amis Tambwe


SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: