Thursday, August 30, 2018

Droo ya Ligi ya mabingwa Ulaya hadharani Ronaldo uso kwa uso na Man united


Droo ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya imekamilika muda mfupi uliopita mjini Monaco, nchini Ufaransa huku Ronaldo na Klabu yake ya juventus wakipagwa  kundi H na klabu yake ya zamani ya Manchester united.
Hivi ndivyo makundi yalivyopangwa


Michezo ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi itaanza kutimua vumbi tarehe 18 na 19 mwezi wa tisa mechi ambapo takribani michezo 6 zitachezwa kabla ya raundi nyingine kuendelea tarehe 11 na 12 mwezi wa 12 mwaka huu.

Hatua ya Mtoano ni mwezi wa pili na fainali itapigwa uwanja wa  Atletico Madrid’s Wanda Metropolitano tarehe 1 June, 2019.


SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: