Monday, August 27, 2018

Baada ya United kupokea kichapo msimamo unasomeka hivi pale uingerezaBaada ya michezo ya Raundi ya tatu kwa timu za ligi pendwa ya kule nchini uingereza kuitimishwa jana kwa man united kuchapwa magoli 3-0 dhidi ya Tottenham huu hapa msimamo wa ligi hiyo Liverpool akiwa kileleni Man united ya 13.


SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: