Thursday, August 23, 2018

Achana na mywether Ronaldo na messi kwa utajiri Serena williums anaongoza kwa kinadada


Bingwa mara 23 wa Grand Slam Kwenye mpira wa tenesi Serena Williams ndio wanamichezo wa kike tajiri zaidi duniani kulingana na utafiti wa Forbes kwenye listi ambayo kumi bora kuna wacheza tenesi 8.
Serena Williams alilipwa dola 62,000 mwaka uliopita baada ya kuwa nje kwa miezi 14 kujifungua lakini alijizolea dola milioni 18 kutoka kwa matangazo ya biashara huku  Mapato ya Williams yanamweka nafasi ya kwanza kwa mwaka wa tatu mfululizo.
Mchezaji wa Badminton PV Sindhu na mwendesha magari Danica Patrick ndio wanamichezo  wasio wachezaji tenisi walio katika orodha ya kumi bora.
Caroline Wozniacki yuko nafasi ya pili baada ya kushinda ubingwa wa Grand Slam kwenye mashindano wa Australia Open, ushindi uliompa dola milioni 3.1 na kuongeza kipato chake hadi pauni milioni 13.
Rais wa Urusi Sharapova alikuwa mwanaspoti wa kike aliyekuwa na kipato cha juu zaidi kwa miaka 11 mfululizo lakini kipato chake kimeshuka kufuatia marufuku ya miezi 15.
Mwezi Juni Forbes iliwaorodhesha wanamichezo 100 wenye kipato cha juu zaidi lakini hakukuwa na mwanamke kwenye orodha hiyo baada ya serena Williama kukosa kuorodheshwa.
Mwanamasumbwi Mmarekani Floyd Mayweather alichukua nambari moja akifuatwana mchezaji soka Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Wanamichezo wa kike 10 tajiri zaidi duniani
1.  Serena Williams (tennis) - $18.1m (£14m)
2.  Caroline Wozniacki (tennis) - $13m (£10.1m)
3.  Sloane Stephens (tennis) - $11.2m (£8.7m)
4.  Garbine Muguruza (tennis) - $11m (£8.5m)
5.  Maria Sharapova (tennis) - $10.5m (£8.1m)
6.  Venus Williams (tennis) - $10.2m (£7.9m)
7.  PV Sindhu (badminton) - $8.5m (£6.6m)
8.  Simona Halep (tennis) - $7.7m (£6m)
9.  Danica Patrick (mbio za magari) - $7.5m (£5.8m)
10.          Angelique Kerber (tennis) - $7m (£5.4m)SHARE THIS

Author:

Facebook Comment

0 comments: