Tuesday, July 24, 2018

YANGA YAMTANGAZA OMAR KAAYA KUWA KAIMU KATIBU MKUU WA KLABU

Baada ya kuwepo na sintofahamu katika klbu ya Yanga SC kwa mfululizo wa viongozi mbalimbali kujiuzulu akiwemo Katibu Mkuu Boniface Mkwasa, leo klabu hiyo imemteu kaimu Katibu mpya wa klabu hiyo.

Kufuatia kujiuzulu kwa Boniface Mkwasa ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Yanga, leo Julai 24, kimefanyika kikao cha dharura ambapo kamati ya Utendaji pamoja na Bodi ya wadhamini imefanya uteuzi na kuamua kumtangaza Omar Kaaya kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: