Monday, July 9, 2018

WILSHERE AJIUNGA NA KLABU YA WEST HAM UNITED

Staa wa zamani wa klabu ya Arsenal Jack Wilshere amejiunga na klabu ya West Ham United ya England, Wilshere amesaini mkataba wa miaka mitatu katika Klabu hiyo.

Jack Wilshere aliyedumu kaitka klabu ya Arsenal kwa miaka 17 alioneshwa mlango wa kutokea na kocha mpya Unai Emery kwa kuambiwa kuwa hayupo kwenye mipango yake.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: