Wednesday, July 11, 2018

WAUMINI WA KANISA LA SILOAM WAFANYA MAOMBI MAALUM YA KUZUIA AJALI ZA BARABARANI

Waumini wa Kanisa la The Pool of Siloam wameamua kufanya maombi maalum ya kuzuia ajali za barabarani zilizotokea mfululizo na kuua watu zaidi ya 40 mkoani Mbeya siku chache zilizopita.

Maombi hayo yamefanyika katoka Mlima Mbalizi ambapo ni mahali palipotokea ajali hivi karibuni na kupelekea vifo vya watu 20.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: