Friday, July 20, 2018

WATUMISHI WA AFYA WASIOTAKA KWENDA MIKOANI NDANI YA SIKU 14 WANAJIFUTA KAZI WENYEWE.NA WAMJW-KIGOMA

SERIKALI kupitia Wizara y aAfya,Maendeleo yaJ amii,Jinsia ,Wazee na Watoto imetoa onyo kwa watumishi wa kada mpya ya afya wasiotaka kwenda kufanya kazi mikoani ndani ya siku 14 ambazo wameitwa kwa ajira mpya kinyume na hapo watakuwa wamejifuta kazi wenyewe.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu alipotembeleaa Hospitali ya Rufaa mkoa Kigoma Maweni wakati wa ziara yake ya kuangalia hali ya utoaji huduma za afya mkoani humo .


SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: