Wednesday, July 25, 2018

WAKURUGENZI NA MAOFISA LISHE WAAGIZWA KUTOA LISHE BORA NDANI YA JAMII

Seirikali Mkoani Mbeya imewaagiza Wakurugenzi pamoja na Maofisa lishe kwenye halmashauri zote kutoa elimu ya lishe bora kwenye jamii ili kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: