Tuesday, July 17, 2018

UNAI EMERY KUWATEMA WELBECK NA GOLIKIPA DAVID OSPINA

Meneja wa Arsenal Unai Emery anapanga kukipunguza kikosi chake na hatma ya mshambuliaji wa England Danny Welbeck 27 na kipa ambaye ni raia wa Colombia David Ospina 29 bado hazijajulikana mpaka sasa.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: