Monday, July 23, 2018

TUTAENDELEA KUIKOSOA SERIKALI - FATUMA KARUME

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Bi Fatuma Karume, amesema kuwa wataendelea kuikosoa serikali kwa kuwa wanasheria wanatetea haki za watu.

Kumbuka Serikali ya Tanzania iliwahi kutishia kukifuta Chama hicho kwa madai kuwa kinajiingiza katika maswala ya Siasa.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: