Monday, July 23, 2018

TUME YA UCHAGUZI YAWAPA ONYO WAGOMBEA NCHINI ZIMBABWE

Tume ya Uchaguzi ya nchini Zimbabwe imewapiga marufuku wagombea watakaoshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa nchini humo kutoweka picha za Bundi, Duma, Tembo, Simba, Swira pamoja na Faru kwenye nembo zao.

Tume hiyo ya Uchaguzi bado haijatolea ufafanuzi kuhusiana na katazo hilo kwa wagombea watakaoshiriki uchaguzi mkuu.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: