Wednesday, July 25, 2018

TUKIO LA KUPATWA KWA MWEZI KUFANYIKA JULAI 27, 2018

Tukio la kupatwa kwa mwezi kutafanyika siku ya Tarehe 27 Julai 2018 na kutakuwa si kwa kawaida, itakuwa nitofauti na vile ilivyozoeleka kwa watu.

Tukio hilo litakuwa la muda mrefu zaidi katika karne ya 21 kulingana na shirika la usimamizi wa anga za juu (NASA).

Pia Bara la Afrika linatajwa kuwa moja ya maeneo ambapo tukio hili litaonekana kwa uzuri zaidi, ambapo jijini Dar es Salaam tukio hili itaweza kuonekana kuanzia saa 2:14 usiku.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: