Tuesday, July 17, 2018

TUHUMA ZAMPONZA KOFFI OLOMIDE AZUIWA KUINGIA NCHINI ZAMBIA

Mwanamuziki maarufu wa miondoko ya rumba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Koffi Olomide amekataliwa kuingia nchini Zambia kufuatia kuwa na makosa mengi yanayomkabiri katika taifa hilo lililopo Kusini mwa Afrika na Ufaransa.

Serikali ya Zambia imemzuia Koffi kuingia nchini humo kutokana na shutuma za kumsambulia mpiga picha mara ya mwisho alipokwenda Ubalozi wa Ufaransa lakini pia anatafutwa kwa tuhuma za kuwanyanyasa kingono Dancers, kuwateka na kuwaajili bila vibali.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: