Monday, July 16, 2018

TIMU YA TAIFA YA SPAIN YAFANIKIWA KUONDOKA NA MEDALI KOMBE LA DUNIA

Timu ya Taifa ya Spain licha yakutolewa katika raundi ya 16 bora lakini bado imefanikiwa kuondoka na medali kwenye michuano hiyo ya Kombe la Dunia 2018 ambayo imefanyika huko nchini Urusi.

Spain imepata tuzo ya Fair Play baada ya kuwa timu pekee yenye nidhamu zaidi kwenye michuano hiyo, ambapo walipata kadi 2 za njano pekee katika michezo yao 4 waliocheza katika michuano hiyo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: