Tuesday, July 24, 2018

THIERRY HENRY KUTUA ENGLAND MSIMU UJAO

Nyota na mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal Thierry Henry ambaye kwa sasa yupo katika kikosi cha cha ukufunzi cha timu ya Taifa ya Ubelgiji amekubali kwa maneno kuchukua uongozi katika klabu ya Aston Villa ambapo atakuwa akichukua mikoba ya Steve Bruce.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: