Monday, July 23, 2018

SWALI LA WAZIRI LUGOLA LAMPELEKA RUMANDE ASKARI POLISI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kumuweka rumamnde Askari Polisi aliyeshindwa kujibu swali lake lililohoji ni vitabu gani muhimu ambavyo vinastahili  kuwekwa katika kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa msaada wa huduma wa huduma kwa raia?

Agizo hilo limekuja baada ya Askari huyo kushindwa kujibu swali hilo na hivyo kuamliwa Kamanda wa Mkoa huo amuweke rumande.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: