Wednesday, July 25, 2018

SINGIDA UNITED YANASA MASHINE MPYA

Klabu ya Singida United inayopatikana katika mkoa wa Singida imefanikiwa kumsajili kiungo mpya kutoka klabu ya Mwadui FC anayekwenda kwa jina la Awesu Ally Awesu.

Kiungo huyo kutoka klabu ya Mwadui FC amesaini kandarasi ya miaka miwili atakayoitumikia timu yake mpya ya Singida United.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: