Wednesday, July 25, 2018

SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA LAANZISHA LIGI ZA VIJANA

Shirikisho la Soka Tanzani (Tanfootball) limeanzisha mpango wa ligi za vijana kwa timu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Ligi daraja la kwanza na Ligi Daraja la pili.

Kuanzishwa kwa mpango huu ni kwa ajili ya kukuza mchezo wa mpira wa miguu nchini huku zikishirikisha vijana chini ya umri wa miaka 20, 17 na 15.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: