Tuesday, July 24, 2018

SHILOLE APATA SHAVU LA KUJIFUNZA LUGHA YA KIINGEREZA

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva Shilole apata shavu la kujifunza lugha ya kiingireza baada ya kushindwa kutamka neno SUBSCRIBE.

Baada ya kuchekwa sana msanii huyo kwa kutokujua lugha ya kiingereza, Shilole ameingia mkataba na British Council ili aweze kujifunza lugha hiyo.

Mbali na muziki msanii huyo anahamasa kubwa sana ya kuongea kiingereza  bila kujali makosa ambayo anayafanya.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: