Monday, July 23, 2018

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH717.56 BILIONI

Serikali ya Tanzania imepokea gawio la Sh.717.56 Bilioni kutoka kwa Tampuni, Taasisi na mashirika ya umma kwaajili ya mwaka 2018.

Akizungumza katika hafla ya kupokea gawio hilo leo Julai 23, 2018 Jijini Dar es salaam, Msajili wa Hazina, Athumani Mbutuka amesema kuwa gawio hilo nikutoka kwa kampuni, taasisi na mashirika ya umma 43 kati ya 90 ambayo yanastahili kutoa gawio.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: