Tuesday, July 17, 2018

RC MAKONDA APATA MTOTO WA KIUME

Mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam, Paul Makonda pamoja na mkewe wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa kupitia mtandao wa Instagram.

Mapema leo Mkuu wa Mkoa alipost picha ya video mtandaoni na kuandika taarifa hiyo ya kupata mtoto wake ambaye amempatia jina la Keagan.

"Mungu wewe ni waajabu tena unatenda kwa wakati wako. Asante kwa ZAWADI YA MTOTO WA KIUME @ KEAGAN P MAKONDA" Ameandika RC Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: