Tuesday, July 17, 2018

RAIS MAGUFULI ASHINDA TUZO YA AFRIKA

Rais John Pombe Magufuli ameshinda Tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi kwenye Tuzo za Ukombozi wa Afrika kutokana na mchango wake wa kiuchumi hususani katika ukuaji wa miundombinu.

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Kiongozi wa Tanzania kushinda tuzo hiyo baada ya Mwalimu Nyerere.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: