Tuesday, July 17, 2018

NYOTA WA MANCHESTER UNITED AZUILIWA KUJIUNGA NA KAMBI NCHINI MAREKANI

Baada ya nyota wa Manchester United Alexis Sanchez kupatikana na hatia ya udanganyifu wa kulipa kodi huko Hispania February 2018, imempelekea mchezaji huyo kuchelewa kujiunga na kambi ya Manchester United huko chini Marekani kutokana na sheria za Marekani kuzuia mtu aliyepatikana na hatia ya aina hiyo kuingia nchini humo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: