Friday, July 27, 2018

NDEGE MPYA YA AIR TANZANIA BOEING 787-8 DREAMLINER KUANZA SAFARI ZAKE JULAI 29,2018

Ndege mpya ya Air Tanzania, Boeing 787-8 Dreamliner itaanza safari zake za kwanza siku ya Jumapili Julai 29,2018. Ndege hiyo yenye uwezo mkubwa wa kubeba abiria 262 itafanya safari mbili siku hiyo ambapo itakuwa ni Dar es Salaam, Kilimanjaro pamoja na Mwanza.

Safari hizo zitafanyika nyakati muda tofauti wakati safari moja itakuwa asubuhi na nyingine itakuwa jioni.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: