Tuesday, July 17, 2018

MWEKEZAJI ATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUMPA HONGO WAZIRI LUKUVI

Mwekezaji wa Kiwanda cha Kiluwa Steel ambacho kipo Kiluvya Wilaya ya Ubungo jijini Dar Es Salaam, Muhamed Said Kiluwa anashikiliwa na TAKUKURU kwa tuhuma za kumpa hongo Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: