Friday, July 27, 2018

Mwalimu Mkuu ampa mimba mwanafunzi na kutoweka

Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Kilambo cha Mkolechi wilayani Nkasi, mkoani Rukwa anaye tambulika kwa jina la Eradi Kapyela ameondoka katika kituo chake cha kazi kwa muda wa siku 5 na kuelekea kusikojulikana.

Mwalimu huyo ameondoaka na kwenda kusikojulikana baada ya kutuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wake wa Darasa la saba.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: