Tuesday, July 24, 2018

MOURINHO KUMPIGA BEI ANTHONY MARTIAL

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anapanga kumuuza winga wa Ufaransa Anthony Martial ambaye anacheza klabuni hapo.

Mourinho amepanga kumuuza nyota huyo kwa kwa dau la euro 50 milioni lakini kwa klabu ambayo haichezi ligi ya Uingereza. 

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: