Tuesday, July 31, 2018

MOURINHO ATOA WITO KWA POGBA, LUKAKU NA LINGARD

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ametoa wito kwa wachezaji wake ambao ni Poul Pogba, Romelu Lukaku pamoja na Jesse Lingard wote wakiwa na umri wa miaka 25, wapunguze mapumziko yao ili warudi kuwasaidia wachezaji wenye umri mdogo ambao wameshindwa kufanikiwa kucheza mchezo wa kuridhisha katika kipindi cha mechi za kujiandaa na msimu mpya.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: