Wednesday, July 25, 2018

MOURINHO AMPOTEZEA MWANDISHI WA HABARI

Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amekataa kujibu swali la mwandishi wa habari amabye alitaka kujua kama kocha huyo ana uhakika kuwa kikosi chake kitaweza kufanikiwa kutwaa ubingwa wa EPL msimu wa 2018/19.

Lakini Kocha huyo hakuweza kumjibu mwandishi huyo na badala yake alisema kuwa, "Siwezi kujibu swali hilo"

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: