Wednesday, July 25, 2018

MOTO WAZIDI KULETA MAAFA NCHINI UGIRIKI

Imeripotiwa kuwa mpaka sasa Watu 79 wameripotiwa kufariki kutokana na moto mkubwa kuzuka na kuunguza msitu mkubwa nchini Ugiriki.

Inaelezwa kuwa mpaka sasa idadi ya Watu kupotea bado haijajulikana huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.

Vikosi vya uokoaji bado vinafanya jitihada za uokoaji ili kuhakikisha watu ambao awajapatikana waweze kupatikana na kujua chanzo cha moto huo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: